One episode down. Series za hivi huwa zinafikirisha sana. Yani unakuta unatafakari mwenyewe ingekuwa imetokea kwenye familia yako ungefanyaje?
Baba anataka kumkamata mshukiwa wa mauaji ya mtoto wa hule. Kabla ya kufanya hivyo anabaini mwanae anahusishwa na mauaji hayo ooh my God. Acha nisonge nayo
View attachment 3284241