Mkuuu hiii Qeen of South ni hatari sana
Huyu jemsi nyoka mbaya sana but kwenye biashra ya madawa hutakiw kumuamni mtu hata mmoja
Ila ni series kali sana mkuuu
Wote ni wakali wenye ladha mbili tofauti.
James Cameron - ana movie kali (story imenyooka)
Christopher Nolan - ana movie kali, ila inahitaji π€―π§ π€
Hao wote ni wakali sana hapo kwa Cameron ana mzigo kama alien na zile avatar ni Kali sana kwa Nolan ana kazi safi kama memento , the dark night , inception pamoja na the prestige