Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Umenikumbusha kesho naidownload niangalie tenaMovie hii jamaa mmoja alikuwa kama kichaa anateka wanawake anachinja, Kosa moja alilofanya ni aliua mke wa afisa usalama jamaa alieuliwa mke akaomba likizo kazini kwake kumsaka muuaji, alivyofanikiwa kumpata alimpa mateso akamuacha na GPS mwilini akawa anamfatilia akimkamata tena kipondo alaf anamtibia anamuacha..
Balaa mbeleni jamaa alijua kawekewa GPS akafanikiwa kuitoa mtiti wake sio mdogo
NB:Movie ni single ya kiKorea View attachment 3279038
On stream kuna muda siwaelewii hata ZERO DAY haipo
Mkuu medeberiya inanizinguaga..npo chimbo jingine ..nataka HD haswaa
Nimeshafanikisha shukraniNdio ni torrent au nikupe direct link
Nilipenda uhusika wa Gus fring wa los polos hermanosKila mwaka Kwa miaka 14 sasa huwa nairudia kuangalia Breaking bad
Nipo season ya 5 sasa hivi.
Kuna MTU amenirecomend son of anarchy amesema inamfanano na BB
Downloading right now thnksHii movie inahusu jamaa mmoja kapewa kazi ahakikishe mzigo(mtu anayetafutwa) upo ndani ya ndege aufikishe salama balaa linatokea katika ndege kuna bounty killers kibao wanataka kumuua uyo mtu anaelindwa damu inamwagika sana umu ndani..View attachment 3275430
Nmeikutia kati lakini, inaonyesha uhalisia jinsi watu wa uswazi wanavyoishi, visa mbalimbali vya ndugu na mengine mengi kuhusu uswahilinInahusu nini 😃
Sure sometime zinavutia sana ila hii Kombolela humo ndani watu wanaongea sijapata kuona🙌🏾😅 kuna uyo mwanamke anamaneno mpaka najiuliza hivi maneno haya yapo kwenye script kweli??Sometimes hizi tamthilia za kiswahili unaweza usizielewe ila kuna siku nilikua sina kazi nikaangalia KitimTim ya DStv aisee niliipenda sana.. Pili anajua sana kuigizia na alijua kunifurahisha.
Man hiyo fight or flight ni kijerumani tu humo? Hakuna yenye dual audio?Sure sometime zinavutia sana ila hii Kombolela humo ndani watu wanaongea sijapata kuona🙌🏾😅 kuna uyo mwanamke anamaneno mpaka najiuliza hivi maneno haya yapo kwenye script kweli??
Hizo ndo movie zangu sasa, jamaa yule wa Hawkeye mtegua mabomu ninayo hiiUnaijua The Hurt Locker?
KabisaKama ile tamthiliya ya DUNIA...ina mafunzo sana halfu video zao HD sanaa
Enjoy Vipondo😅Downloading right now thnks
Hold on lugha humu ni German?
Hamna mbona wanafanya Code mixing humo ndani, kuna muda wanazungumza lugha hii muda mwingine hii n.kMan hiyo fight or flight ni kijerumani tu humo? Hakuna yenye dual audio?
Waileteee Nina hamu nayo mno
Dual audio ipo today tv seriesMan hiyo fight or flight ni kijerumani tu humo? Hakuna yenye dual audio?
Afu polisi nao wapo bize aiseeHii Gangs of London ina wahuni daraja la kwanza😅
Kuna mwamba anaitwa Luan nilikuwa namchukulia poa aliwafyeka wanaigeria kwa dk tuHii Gangs of London ina wahuni daraja la kwanza