Series (Special thread)

Napenda watu Kama nyie ambapo mnatupa na kastory ili Kama Kali unaenda kutafuta kuliko mtu anakwambia hii Kali kuja kucheki ni utopolo ila hii ni Kali kisa chale nimekipenda nitaicheki
 
Kuna mtu wa annimations humu list hii hapa
Secret life of pets 1, 2
Spell bound
Puss in boots 1
Puss in boots the last wish

Hiyo puss in boots the last wish inachekesha sana. Jamaa anapewa maisha ya mwisho apambane asife. 😂
sauti ya Puss in Boots ni ya Antonio Banderas na ya Soft Kittypaws ni ya Salma Hayek na ndiyo my fav jumlisha na ile Spanish language kidogo uwiiih'..!!
 
Malcolm alikua anapiga p*chu sana, sema kwa jinsi ile mali ilivyokua kali sishangai kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…