Series (Special thread)

Siwezi kumlaumu dave ni kosa ambalo hata mimi nahisi ningefanya 😁😁 ila adele pia ni mzuri , dah kweli jamaa alikuwa anaenjoy, angekuwa ni skekh angevuta wote wawili 😁😁😁
Kabisa mkuu sema hata kile ki blaki Louisa nacho kina vaibu sana kale alikuwa anampa jamaa ofisini mixer home
 
Nmemaliza series ya Snowfall yote leo kesho Mungu akipenda nataka nishushe chuma kingine. Hii series ni kali sana
View attachment 3249484
Baada ya kumaliza Snowfall nikadownload BMF(black Mafia Family) nimeimaliza leo kwa masikitiko kusubiri mpaka watapotoa muendelezo wake ila ni bonge moja la series.

Namove forward na kigongo kingine kipya hakuna kupoa huu mwaka ni bandika bandua🥱
View attachment 3264046
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…