Series (Special thread)

Series (Special thread)

20250225_065635.jpg
 
uvumilivu umenishinda nimeanza kulamba lamba Paradise nimeipenda, ila pia kuna mtu kapost trailer ya Love hurts, I think it is worth watching pia..!!

thank you for the love tag, ngoja nijaribu na hii yako nione tutafikishana wapi.!!
Naomba hii Paradise msiisifie sana, nasubiri imalize kisha niishushe. Naomba tusitiane majaribuni nikadondokea dhambini😂
 
Naomba hii Paradise msiisifie sana, nasubiri imalize kisha niishushe. Naomba tusitiane majaribuni nikadondokea dhambini😂
unakumbuka utotoni ukiitwa kula inavyokuwa..??
Ikiwa ugali utaskia tu, 'Carleen, unaitwa'..!
Ikiwa ubwabwa unaskia, 'Carleen, shauri yako'..!
hapo ndiyo pahala miguu hufika kwa kisogo,

Na Mimi nasema, 'shauri yako'..!😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom