Series (Special thread)

Series (Special thread)

So hii dexter origin sin ni mwendelezo au no story mbili tofauti?
Ni mwendelezo bubu mkongwe!
Ni mwendelezo fulani hivi ambao unaweza kuungalia wenyewe bila kuangalia Dexter za mwanzo na usipate shida sana kuelewa.

Hii inajaribu kukupa full picture ya jinsi alivyopatikana huyo mwamba Dexter.
 
Unatumia site gani kupakua hii mali mkongwe!?
Share link tafadhali.
Mambo yote yapo hapa. Ni browser yako tu na bando huhitaji makorokoro mengi

Ni kujipakulia minyama nadhani wewe ndie uliileta humu shukrani sana. Ile 2dayseries naona kwangu kama nzito kidogo
Kule today tv series mambo mengi sana kule sema zikifungiwa hizi site huwa napata tabu mno yaani 😃 😃
 
Kule today tv series mambo mengi sana kule sema zikifungiwa hizi site huwa napata tabu mno yaani 😃 😃
Yani walipiga pin site moja hivi nikaumia sana isingekuwa uzi huu na wewe kushea hio moviemod ningekuwa nahangaika na UTORRENT inakuandikia 21 days remain for your downliad to complete mi hayo mambo siwezi kabisa 😁
 
Mambo yote yapo hapa. Ni browser yako tu na bando huhitaji makorokoro mengi

Alhamdulillah!!!
Nimeingia humu ni shida, kuna series hawana hawa jamaa?
 
Mambo yote yapo hapa. Ni browser yako tu na bando huhitaji makorokoro mengi

Nataka niadd link kwenye home screen ya simu yangu msaada chief.
 
Nataka niadd link kwenye home screen ya simu yangu msaada chief.
Fungua link unayo taka kisha kwenye browser yako bonyeza kwenye vidoti vitatu kwangu mimi vipo chini kulia
Screenshot_20250222-181035.png

Kwa wengine vipo juu kulia. Kisha bonyeza add to home screen
Screenshot_20250222-181059.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom