Nashukuru mkuu kwa maelezo hayo, nitayafanyia kazi
kama wewe ni mpenzi wa gangster kama mimi kaicheki pia the sopranos sema hii ni ya kitambo kidogo, kuna movies za gangster kali kama godfather 1, casino na american gangster hua sizichogagi aisee
Haha hio ndio Kevin hart yupo au nimechanganya,naangalia real housewives of Atlanta,love n hiphop hizo ni reality show I think sawa na hio real husband...
Tyrant ni nzuri inahusu middle east country abbudin na governance yake itafute hii am sure utaipenda
Power ni ya 50 cent drug issues ina compete na empire,I prefer power zaidi
Ukimaliza niambie nitakuwa mteja wako..pia ukifanya kwa series in bulk nzuri zaidi ila bei iwe juu kidogo...binafsi kudownload viepisode siwezi nanunua full series/season...so nitakuwa mteja wako sana ...
Mkuu the flash sijaiangalia,itabidi nitafute
Kwa wafuatiliajia wa series ya ARROW naomba mnieleweshe kidogo, Jana nimeshusha S04 ep 8 nikakutana na story ya series nyingine ya THE FLASH. nini kimetokea sababu nilifikiri nimedownload vibaya lakini hata subtitle yake inaonyesha Ni ya ARROW ila movie ni nyingine! naomba ufafanuzi
Hii ndo series inayonivutia kwa sasa kama unapenda martial arts its the best
Mkuuu nafuatilia hiyoo kitu.. Kwani Episode ya nne imetoka nn... Nimeangalia episodes tatu..
Ishatema aseee
Mkuuu nafuatilia hiyoo kitu.. Kwani Episode ya nne imetoka nn... Nimeangalia episodes tatu..
Imetoka jana mkuu ipo torrent check
Ndo naipakua hapa mkuuu.. I appreciate
Hii ndo series inayonivutia kwa sasa kama unapenda martial arts its the best
NARCOS '' ndo habari ya mjini must watch