Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 81,999
Mtoto mzuri sana yule sema baby yake kavurugwa sana nimependa sana babu anavyo mpenda mjukuu wake aisee Kila likitokea tatizo anafatilia yule babuMtoto hana aibu yule. Anaamka zaga lote limefunikwa na chupi tu mbele ya babu yake...
Ila walio.mchukua kwenye gari kwenye episode 1 nahisi watayatimba. Ndio nataka nianze episode two
Nimeichek hiyo....Ndio Mkuu
Hii mbona ni kama ile iliyo nishinda? Series wanapigana kwa kutumia kofia?Aliuliza swali zuri sana View attachment 3195737
Kofia ziliwekwa wembe sema humo watu wanagongana sana ππHii mbona ni kama ile iliyo nishinda? Series wanapigana kwa kutumia kofia?
Mtoto mkali sana huyo, jamaa alikuwa anamtafuna [emoji23][emoji23]Naam season kalii sana mie nimempenda yule dada ambae ni rafiki yake Ryan alikuwaga kwenye movie Moja hivi inaitwa limitless unaijua hiyo movie?
Naam itafute na limitless utaenjoy sana ndugu yangu π πMtoto mkali sana huyo, jamaa alikuwa anamtafuna [emoji23][emoji23]
Hivi huyu uzuri wake uko sehemu gani? Au ndo uzuri upo machoni mwa mtuBianca kwenye Moja na mbiliView attachment 3195847
Mkuu ushawahi kuzichapa demu blaki?Hivi huyu uzuri wake uko sehemu gani? Au ndo uzuri upo machoni mwa mtu
Mtoto mkali sana huyo, jamaa alikuwa anamtafuna [emoji23][emoji23]
Ningekuambia kazi yangu na wanawake ninaokutana nao.. ila no shit, bianca hana uzuri huo mnaomsifiaMkuu ushawahi kuzichapa demu blaki?
πππNingekuambia kazi yangu na wanawake ninaokutana nao.. ila no shit, bianca hana uzuri huo mnaomsifia
Hapa sasa ndio umesema π