Hahaha.. Mtoe Thanos hapo
Simpendi jamaa alikuwa anamkataa kale kamanzi mwenye kipiniHahaha.. Mtoe Thanos hapo
Jamaa vibe lake linafurahisha ππ
kumbeNaangalia Documentary ya "Titans: The Rise of Hollywood", Kumbe WERNER BRO ndio studio ya kwanza kuingiza sauti kwenye movies 1927.
Sie bajeti zetu eti elfu 50Wenzetu wameendelea siku nyingi sana mwaka 1927 walikuwa wanatengeza movie ya budget $1 Million
Tatizo Bongo uki invest hela nyingi unapata hasara ππSie bajeti zetu eti elfu 50
Movie " whiteout" hii Kali sana itafuteni inahusiana na wakati wanafanyakazi wa kampuni fulani wanavamiwa na kundi la kigaidi na kutekwa wanapelekwa sehemu ya mafichoni huko wanapata mateso ya kufa mtu, kimbembe kinakuja namna ya kutoroka ili waokoe maisha yako.Nilichopendea kwenye hii movie main enemy Ni ngumu kumjua mpaka mwishoni mwishoni hivi ndio anajulikana hii Ni tofauti na movie nyingi
NtaitafutaMovie " whiteout" hii Kali sana itafuteni inahusiana na wakati wanafanyakazi wa kampuni fulani wanavamiwa na kundi la kigaidi na kutekwa wanapelekwa sehemu ya mafichoni huko wanapata mateso ya kufa mtu, kimbembe kinakuja namna ya kutoroka ili waokoe maisha yako.Nilichopendea kwenye hii movie main enemy Ni ngumu kumjua mpaka mwishoni mwishoni hivi ndio anajulikana hii Ni tofauti na movie nyingi
Mbona nikiangalia trailer na ulichokiandika hapo ni vitu viwili tofauti. Au unayoisemea ni ya mwaka gani?Movie " whiteout" hii Kali sana itafuteni inahusiana na wakati wanafanyakazi wa kampuni fulani wanavamiwa na kundi la kigaidi na kutekwa wanapelekwa sehemu ya mafichoni huko wanapata mateso ya kufa mtu, kimbembe kinakuja namna ya kutoroka ili waokoe maisha yako.Nilichopendea kwenye hii movie main enemy Ni ngumu kumjua mpaka mwishoni mwishoni hivi ndio anajulikana hii Ni tofauti na movie nyingi
Ukiwa makini hela zipo nduguTatizo Bongo uki invest hela nyingi unapata hasara ππ
ππππππ
Ngoja niidownloadWeekend in TaipeiView attachment 3188145View attachment 3188147
Ngoja niidownloadMovie " whiteout" hii Kali sana itafuteni inahusiana na wakati wanafanyakazi wa kampuni fulani wanavamiwa na kundi la kigaidi na kutekwa wanapelekwa sehemu ya mafichoni huko wanapata mateso ya kufa mtu, kimbembe kinakuja namna ya kutoroka ili waokoe maisha yako.Nilichopendea kwenye hii movie main enemy Ni ngumu kumjua mpaka mwishoni mwishoni hivi ndio anajulikana hii Ni tofauti na movie nyingi
Ndiyo naianza, sema ndiyo sipendi mambo ya arosto..!!π