Series (Special thread)

Nimeianza Twisted metal na Kwa hii episode ya kwanza tu naona ntaimaliza maana hizi taste za u-mad max ndio zangu, magari yakimbie sana bunduki zilie sana na u comedy Kwa mbaaali. Ingawa naona kama episodes zina dakika chache.
 
Mwakani season 2 inatoka
 
Yule uwezo wake mdogo sana hawezi deal na daggan but nimefurahi yule Bianca kufa
Na kosa lake ni kumtambua kama mwamba ni daggan
Uwezo mkubwa sema sniper ana watu wanampa sapoti kimyakimya. Imagine yule director alimtuma bianca lakini ofisini anatoa maelezo kwamba bianca went rogue yani alikiuka maagizo na hivyo alijiamria mwenyewe. Huoni hapo hata iweje bianca lazima tu kuna mambo yata mslow down?
 
Inawezekana Bianca hajafa, Na inawezekana Jackal alifanya makusudi kutomuua maana ile haikuwa Headshot na kwa umwamba wa jamaa ile distance ni ndogo sana akukose headshot,

Ila Suala la Bianca kwenda nyumbani Kwa Jackal na kutaka kumtia nguvuni. That was stupid
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…