Shida mshazoea kuona series za mtu mmoja kapiga watu 13 kama umeishindwa Tulsa king je pressumed innocent utaweza na je mayor of Kingston utaiweza na breaking bad je?
Hii kama hujafikia level za uchumi wa magumashi huwezi kuelewa kilichomo. Ukienda kwa wmiliki wa makasino na ulimwengu wa kutakatisha fedha ambao wengi raia wa tz waliaminishwa ni haram(wakati wakubwa wanapiga pesa) hao wamiliki wataielewa vilivyo. ILa kwa raia wa kawaida Bible sana hutaipenda kamwe.
Hii the jackal kama hujaishusha nakushauri usubiri kwanza ikamilike. Nimemaliza episode7 hapa najuta kwanini niliharakisha kuichukua kabla haijakamilika.