Naangalia freeh tu tena naweka concentration zoteBasi itakuwa huwa unaangalia huku pembeni kuna watu wanakugasigasi labda washkaji au babies a vyovyote vile. Utulivu unakuwa kwa asilimia ndogo. Yes mwanaume unaweza usilie ila fundo la huzuni lazima liuzonge uso wako na mawazo yako. Mara ya mwisho kuhuzunika nilikuwa naangalia train to busan
Kalii sana hii Zara na Vicent wameupiga mwingiFinally...!!🔥🔥
Niendelee nilipoishia hebu..!!
😃😀😀 Na Kuna Moja inaitwa the boys stripped in pajamas nayo nililia sanaAaah mi kulia sio rahisi
Inaonekana una machozi ya mchezo😃😀😀 Na Kuna Moja inaitwa the boys stripped in pajamas nayo nililia sana
Zinasikitisha mkuu Kuna Moja mzee mmoja alikuwa mwalimu wa chuo alikuwa na mbwa wake wanaenda wote shuleni na wanarudi sasa yule mzee akafariki aisee yule mbwa si akawa Kila siku anaenda kumsubiri yule mzee Kila siku pale shuleInaonekana una machozi ya mchezo
Kwa hiyo huzuni yako ilikuwa ni kwa mbwa kwasababu kafiwa na mmiliki?Zinasikitisha mkuu Kuna Moja mzee mmoja alikuwa mwalimu wa chuo alikuwa na mbwa wake wanaenda wote shuleni na wanarudi sasa yule mzee akafariki aisee yule mbwa si akawa Kila siku anaenda kumsubiri yule mzee Kila siku pale shule
Ndio 😭😭 na mzee alikuwa anampenda sana yule mbwaKwa hiyo huzuni yako ilikuwa ni kwa mbwa kwasababu kafiwa na mmiliki?
Hahahahaha mbona vitu ize sana hivyoNdio 😭😭 na mzee alikuwa anampenda sana yule mbwa
Ushauri series kali ya action yenye akili nyingi, matukio ya kusisimua, bila kujali ni ya bunduki au medieval.
Hapa tunaenda sawa nilikua nasubili iishe ndo nianze kuangaliaWale wazee wa teacup mzigo umeshaisha Leo EP zote 8 zipo sie wazee tulikuwa tunakula EP Moja Moja tushamaliza kazi kwenu wanetu 😀😃 kazi Ina vibe kama fromView attachment 3139970
Imeishia pazuri sana, Season ya 3 sijui ndo hadi October mwakaniItafute ndugu
View attachment 3139971
Nilishaiona Mkuu. Ya zamani kweliNIKITA . Japo ni ya kitambo kidogo
Inahusu nini, Ina mambo ya kichawi au kutisha, ndo genre nayoipenda zaidi.Mythic Quest itafuteni hii
Mzee From imefika episodes ngapi mpaka sasa, nimejitahidi kukaza Hadi ikamilike yote.Kalii sana hii Zara na Vicent wameupiga mwingi
Chanzo changu kinaonesha episodes 4 pekee vipi season1 ina episodes ngapi? Wapi nitazipata zote?View attachment 3139972
Wale wazee wa mpaka itimie kazi kwenu sie wanenu wa Moja Moja tayari tushamaliza Cc Carleen Mr Q
Season 1 imetimia kazi k
Skilizia mpaka tarehe 24 mwezi ujao, mimi mwenyewe nimeiacha kwanza mpaka ikamilike ndio niicheki yoteMzee From imefika episodes ngapi mpaka sasa, nimejitahidi kukaza Hadi ikamilike yote.
NimeimalizaMimi nililia humu 😃😀
Sema ulilia kimtindo mgoja na mimi niitafuteNimeimaliza
Ni nzuri
Iliniyumbisha kimtindo ikataka kunihuzunisha lakini nikatumia zile principles mbili nikasimama vyema.
AwapiSema ulilia kimtindo mgoja na mimi niitafute