Saizi nimepoa naenda wiki ya tatu now sijagusa seriesHakika shadow strays ni muvi moja bomba sana.
John wick
Claude van dame
Anold
Rambo
Komando kipensi(deadly prey)
Bourne hawajawahi kupitia aliyo pita mwana dada 13
Scars acha ushamba angalia hii muvi haraka sana
Ni masaa mawili na dakika 25 za heka heka. NAMAANISHA HEKAHEKA NA SIO HEKAYA. yani brutal killings zimejaa humo
π¬π¬π¬π¬π¬π¬
Uko kama mimi mkuuSaizi nimepoa naenda wiki ya tatu now sijagusa series
Kuna muda tu stimu zinakata nakuwa sina mzuka kabisa.
Hiyo ntaichukua ila kuiangalia ni mpaka stimu zinirudie.
Aloo hivi hii movie starling ni nani?Hakika shadow strays ni muvi moja bomba sana.
John wick
Claude van dame
Anold
Rambo
Komando kipensi(deadly prey)
Bourne hawajawahi kupitia aliyo pita mwana dada 13
Scars acha ushamba angalia hii muvi haraka sana
Ni masaa mawili na dakika 25 za heka heka. NAMAANISHA HEKAHEKA NA SIO HEKAYA. yani brutal killings zimejaa humo
π¬π¬π¬π¬π¬π¬
Ni code agent hao mademu ipo vizuri sana hiyo movieAloo hivi hii movie starling ni nani?
Hofu yangu isije ikawa nime download movie tofauti na uliyoniambia
Naona mwanzoni mwanzoni tu mademu wanatoa vichapo kwa ma men wakiwa wamevalia vinyago.
Ndio hiyo au nimeingia chaka?
Hapo juu umewataja kina Anold, Rambo, Vann Dame nk. Ila sasa kwa trend nayoiona hapa ya hawa madem wanavyopiga wanaume nashindwa ku imagine hizo positions za hao wamba director atakuwa amewaweka kucheza kama nani
Songa nayo usiishie njianiAloo hivi hii movie starling ni nani?
Hofu yangu isije ikawa nime download movie tofauti na uliyoniambia
Naona mwanzoni mwanzoni tu mademu wanatoa vichapo kwa ma men wakiwa wamevalia vinyago.
Ndio hiyo au nimeingia chaka?
Hapo juu umewataja kina Anold, Rambo, Vann Dame nk. Ila sasa kwa trend nayoiona hapa ya hawa madem wanavyopiga wanaume nashindwa ku imagine hizo positions za hao wamba director atakuwa amewaweka kucheza kama nani
Ni code agent hao mademu ipo vizuri sana hiyo movie
Ngoja ntakomaa nayo huwenda huko mbeleni mambo yakabadilikaSonga nayo usiishie njiani
Mchawi lughaFuries ni nzuri kuliko citadel diana. Episode ya kwanza tu tayari nimeikubali
View attachment 3135961
Dubbed yake ipo mkuuMchawi lugha
Hivi hii ni app gani broHumu tu network nayo unacheza hapaView attachment 3136447
Inaitwa onstream kaka player yake au downloader yake inaitwa s player ipo hapa kwenye Uzi huu niliwekaga na link kaka pitia utaona inatoa movie high quality za aina zoteHivi hii ni app gani bro
Nzuri sana hii π₯ now nipo na the boys season 4Hivi hii series mmewai kuitupia macho nilianza kuiangalia 2021 , ni nzuri ina maswali kibao kama kwenye FROM au LOST sisi wakongwe tunasubili final season mwakani