Series (Special thread)

atoto hivi IF LOVING YOU IS WRONG na Jane the virgin unazicheki?..Zinaendelea

If loving you is wrong niliishia season 2 episod ya 6 kama sikosei, jane naendelea nayo, by the way how are you?
 
Last edited by a moderator:
Hiyo feaver ilikuwaje ukaipoteza? Alafu si ndio nafuu sasa maana ikimiss it means yo now safe.
duuhh!!!!..haya bana..Njoo tuendelee kuangalia if loving u is wrong
 
loving me can never be wrong..Now s03ep05..Alex kajifungua mtt black kama mpoki..

Hahahahaaaa! Uwiii i cant emagine naweza jifanya nimepatwa na kichaa ghaflaa.
 
Nmeona tngzo mpk luda naye yupo
Jamal hta mm namkubali sana ktk kuimba hta namna pamba zke anavyopiga anasoneka ile a ishu yake ya ushoga inanikela sana araf ss hv na usagaji umekujaa
 
Mie torrent imenigomea, kila nikitaka kudownload inaniandikia "downloading file error"
sometimes torrent websites zinazingua..ila kama ni tatizo la muda mrefu try to unistall and install again utorrent..inaweza kusaidia
 
wakuu hii ni muhimu sana..kwa anaejua series yeyote ya kipoltics(ukombozi wa nchi,utawala wa mabavu,mapinduzi ya kijeshi n.k) ni mda wakuanza kujifunza sasa:banghead:
 
wakuu hii ni muhimu sana..kwa anaejua series yeyote ya kipoltics(ukombozi wa nchi,utawala wa mabavu,mapinduzi ya kijeshi n.k) ni mda wakuanza kujifunza sasa:banghead:

House of Cards na tyrant pia
 
Mie torrent imenigomea, kila nikitaka kudownload inaniandikia "downloading file error"

Mm torrent nshaachana nayo sikuhizi nadeal na o2tvseries.com tuuu.....quality ya mp4 kulingana na simu yako...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…