rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,585
- 8,918
Bado siku 20 [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 3084802
Ni series inayohusiana na nini?
MafiaNi series inayohusiana na nini?
Trigger warning ( Scars hata ipenda hii)
Rebel ridge
Ni vyuma vitakavyo niliwaza weekend hii
Halafu
JACKPOT ya j. Cena ikitoka Vincenzo Jr naomba ufanye kazi yako. Hii ni action komedi
Hii series kalii sana kaka πππππ€£Wale viumbe hapa ni kama wanamwambia
"hey Boyd open the door we just want to talk, it's too cold out here"π€£π€£π€£π
Hiyo hapo hapo juu kaka
Ina kama wiki hivi ukicheki zile link za mwanzo niliwekagaAcha maskhara imetoka? HD?
Kalii sana Leo nimeicheki aisee nzuri sanaNinemalizana na rebel ridge ni muvi nzuri kwa kusindikizia wkend.
Maaskari wahuni wamekutana na muhuni zaidi yao
Anayenifurahisha ni William butcher na ile rafudhi yake ya kiingeleza, kwanza akiongea lazima akusindikize na (you cunT )Kalii sana hiyo series ananichekeshaga sana yule homelanderππππ
Hii ukilinganisha na YOUR HONOR ipi kali? Maana nilifuta episodes zake baada ya kuona kama inasinzia sinzia hiviView attachment 3089689
Itafute mtu wangu Leo nimeirudia Tena hii
Hadi december tutakuwa tumekuka vyuma vya kutosha naona mwala huu wameua. Ikitoka uweke linkInatoka hivi karibuni
Aisee icheki Tena upya zote ni kalii kaka story zake Zina fanana ila sio sanaHii ukilinganisha na YOUR HONOR ipi kali? Maana nilifuta episodes zake baada ya kuona kama inasinzia sinzia hivi
Kabisa jamaa nae yupo vizuri sana πππAnayenifurahisha ni William butcher na ile rafudhi yake ya kiingeleza, kwanza akiongea lazima akusindikize na (you cunT )
Season ya ngapi inatoka mwakani mkuuView attachment 3089662
Tukutane mwakani inshallah π