Haujanitajia jina la seriesItazame nzuri sana
Twisted metalHaujanitajia jina la series
Naunga mkono hojaAise kama hujatazama series inayoitwa ozarks ndugu yangu naomba ufanye hima upate burudani stahiki
Inaitwaje hii seriesHUGHIE ametoa macho tuuh A-train alifanya unyama sana kwenye hii screen alafu hata msamaha hakuomba
THE BOYSInaitwaje hii series
Kalii sana hiyo series ananichekeshaga sana yule homelanderππππTHE BOYS
Kilicho nifurahisha mle ni namna ambavyo mtu unaweza kuwa na pesa nyingi na zisikutie ukichaa. Yani unaona kama vile umebeba nguo kwenye begi tu kumbe ni mabulungutuAise kama hujatazama series inayoitwa ozarks ndugu yangu naomba ufanye hima upate burudani stahiki
Naunga mkono hojaKilicho nifurahisha mle ni namna ambavyo mtu unaweza kuwa na pesa nyingi na zisikutie ukichaa. Yani unaona kama vile umebeba nguo kwenye begi tu kumbe ni mabulungutu
2. Namna yule mzee alivyo chomoka kwenye kesi kwa kufukua miilia ya mababu zake na kuibadilisha na mifupa ambayo ingemtia hatiani.
3. Nilisikitishwa na yule mzee kufariki baada ya kuteketeza shamba la mazao yanayo tumika kutengeneza madawa ya kulevya
4. Nilipenda namna ambavyo mtu anavyo weza ku ingiza fedha haram kwenye mifumo rasmi na nnaamini hata haya makasino makubwa kwenye nchi fulani huwa yanatumika kutakatisha vibunda
Ushaicheki series moja ya kiitaliano inaitwa Gomorrah?Trigger warning ( Scars hata ipenda hii)
Rebel ridge
Ni vyuma vitakavyo niliwaza weekend hii
Halafu
JACKPOT ya j. Cena ikitoka Vincenzo Jr naomba ufanye kazi yako. Hii ni action komedi
Jina liliniogopesha sikutaka kuisogelea kwa namna yoyoteUshaicheki series moja ya kiitaliano inaitwa Gomorrah?
Niko episode ya 5 ya season 1 sijakutana na hivyo vitu.Jina liliniogopesha sikutaka kuisogelea kwa namna yoyote
Jina liliniogopesha sikutaka kuisogelea kwa namna yoyote
Nimekubali jinsi marty(jason bateman)alivoweza kuwa calm na kuwa na mbinu elfu elfu za kutatua tatizo ili kuibadili future ya familia yakeKilicho nifurahisha mle ni namna ambavyo mtu unaweza kuwa na pesa nyingi na zisikutie ukichaa. Yani unaona kama vile umebeba nguo kwenye begi tu kumbe ni mabulungutu
2. Namna yule mzee alivyo chomoka kwenye kesi kwa kufukua miilia ya mababu zake na kuibadilisha na mifupa ambayo ingemtia hatiani.
3. Nilisikitishwa na yule mzee kufariki baada ya kuteketeza shamba la mazao yanayo tumika kutengeneza madawa ya kulevya
4. Nilipenda namna ambavyo mtu anavyo weza ku ingiza fedha haram kwenye mifumo rasmi na nnaamini hata haya makasino makubwa kwenye nchi fulani huwa yanatumika kutakatisha vibunda
Nihakikishie kwanza hakuna mambo ya kutifuana mitaro? ππ
Labda kwa huko mbeleni ila kwa episode nilizoangalia hivyo vitu havipoNihakikishie kwanza hakuna mambo ya kutifuana mitaro? ππ
Mbona kma ilinishinda kuanhali nikaishia session ya 2 tuKilicho nifurahisha mle ni namna ambavyo mtu unaweza kuwa na pesa nyingi na zisikutie ukichaa. Yani unaona kama vile umebeba nguo kwenye begi tu kumbe ni mabulungutu