Series (Special thread)

Wakuu kuna hii series animation ya The Boondocks ni nzuri kinoma kama unapenda zile mambo za kigangster umu yamejaa na kuna matukio yakweli yamewekwa umo ndani mfano kesi ya R kelly, uchaguzi wa kipindi cha Obama hadi kupita, harakati za Martin Luther, ishu za wakina 50 cent n.k

Umo ndani kuna mwana mmoja namkubali kinoma anajiita Pimp Named Slickback huyo hafagilii kabisa wanawake kuna part aliitwa amshauri jamaa mmoja ivi akawa anamwambia "bitch dependency is no laughing matter addiction with bitch can *** with it ur friends, health and scary your money its disease" Jamaa muda wote kala suti tu ya zambarau
 
Ngoja niitafute hii
 
Ngoja tulike nayo hii wapenzi wa anime
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…