Series (Special thread)

Scars anakosa mengi. Hii series inaonesha maisha halisi wanayopitia pandikizi wanaowekwa kwenye nchi ambazo kiusalama ukigundulika ni kifo
Kama aliishindwa homeland hii atoiweza πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo ya hao wasagaji sikuimaliza..

Tulia kwanza nikomae na The Wire, nikimaliza series bora ndio nitaanza kujivuta vuta kucheki hizo
Bora wasagaji asee kuliko mashoga kuna series ukikutwa na washkaji unazitizama halafu zimefika kipengele midume inanyinyana ndimi unaweza tamani ukimbie. Usije kujiroga kucheki series inaitwa the oval
 
Kwa sasa ipo season ya ngapi maana nahisi niliishia season 1
Zipo season 3 ya 3 imetoka na imetimia vipande vyote 10 vipi ulionaje harakati za mike na yule banny na nduguye πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…