Series (Special thread)

Ili niweze kudowload hizi series kwenye PC nifanyeje?

Maelekezo hatua kwa hatua itakua vizuri🙏
Jambo la kwanza kaka inatakiwa uwe na torrent hapa nakuelekeza download kwanza hii kitu ya kuitwa bitcomet link kwa chini

Hapo ukimaliza njoo hapa kaka link kwa chini hii ndio web ya kupata hizo series
Sasa hii ndio torrent site yako hapo utapata Kila kitu Cc ephen_
 
Ili niweze kudowload hizi series kwenye PC nifanyeje?

Maelekezo hatua kwa hatua itakua vizuri🙏
Hatua ambayo unaweza kupata bila torrent ingia hapa hii web itakusaidia kupakua bila torrent humo utakuta file zipo kwa njia ya mega z humu mahitaji ni chrome yako tu Mkuu


Ukikwama pm ipo wazi mkuu Cc ephen_
 
Nashukuru
 
Hii inalataa uki click download inaleta ads
 
Hii series kalii sana maisha wanayoshi Hawa wahuni na Mimi natamani sana ningekuwa kama mike Cc Carleen Mr Q series Ina funzo kubwa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…