Series (Special thread)

Duh polee sana πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Kabisa hizi bando za kupima ni balaa hivi huko mtaani kwenu chamazi hamna mahali pa internet cafe nikupe mafile hapa ya gb za kutosha ni 1080 mkuu
Oaaa wee hv internet cafe uwezi kuta kuna ile limit mzeee...

Kama ndo hivo naweza ingia chuo flan hv kiwizi wizi nikapakue mzigo chap kwaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daaah oaaa weee pole mwanangu.... Mi ndo mana sitaki kuwa na tb kubwa kwa pamoja ujue...

Kama hapa ambayo ipo kwa pamoja hii 2tb na nipo makini kinoma maaana ndo maisha yangu yapo hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Uwe unawekea na backup mkuu Mimi nililia sana nimepoteza series na movie kibao afu sina backup
 
Oaaa wee hv internet cafe uwezi kuta kuna ile limit mzeee...

Kama ndo hivo naweza ingia chuo flan hv kiwizi wizi nikapakue mzigo chap kwaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawaweki limit kaka afu skuizi ni buku tu Mimi hata hapa mtaani nawaungiaga wana wakinipa buku usiku nawaachia wapige kazi
 
Oaaa weee kwahyo huo.mzigo uki corrupt hata RECUVA iwezi rudisha au πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
Inarudisha kaka sema uilipie sasa hiyo recuva maana ya free ni balaa itarudisha mafile machache au upate cracked yake
 
Hawaweki limit kaka afu skuizi ni buku tu Mimi hata hapa mtaani nawaungiaga wana wakinipa buku usiku nawaachia wapige kazi
Oaaa weee mi.kesho mapema naingia kuzisaka hizo cafe za internet....

Sema uwezi kuta wana port za Ethernet sio kaka ni mwendo wa fidelity au..
 
Oaaa ushawahi pata movies ila subtitles zake zinasumbua kinyama an ile G na H kwa delay inaenda mpaka -43000ms
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…