Series (Special thread)

Utakuwa unapelekwa mbele mara unarudishwa miaka 10 nyuma ni balaa tupu
Oaaa weee ndo mambo yangu hayo ila yasiwepo mambo ya marvel tuu sijui mtu anawaka macho mara anapaaa staki huo umama mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚135gb si inabidi niwe na external sasa khaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona kawaida hiyo

Mfano tu ile ya person of interest licha ya kuwa na episode 8 lakini imechukua 28GB

Kuna the wire ina season 5 ina 128GB

Yani GB 500 zinaweza kujazwa na series mbili mpaka tatu.
 
Ninayo kaka ukihitaji nakutumia yote telegram au kwenye email yako wewe tu
Weee dogo are you whitch...
Sasa unatuma mimi napakua vipi kudadek na bando la mchongo..

Weee skia mi now nipo available naweza aga hapa kwa antiel nikaja chap kubeba hata kama upo kibaha mamaeeeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona kawaida hiyo

Mfano tu ile ya person of interest licha ya kuwa na episode 8 lakini imechukua 28GB

Kuna the wire ina season 5 ina 128GB

Yani GB 500 zinaweza kujazwa na series mbili mpaka tatu.
Sema wee utakua unachukua mizigo ya high quality dadek MKV hizo daaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu prison break napataje et
 
Mwaka jana nilizika tb 4 SSD ilienda na movie kibao nilipata hasara sana aisee mambo ya tanesco washa Zima umeme rudisha
Daaah oaaa weee pole mwanangu.... Mi ndo mana sitaki kuwa na tb kubwa kwa pamoja ujue...

Kama hapa ambayo ipo kwa pamoja hii 2tb na nipo makini kinoma maaana ndo maisha yangu yapo hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Duh polee sana πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜ Kabisa hizi bando za kupima ni balaa hivi huko mtaani kwenu chamazi hamna mahali pa internet cafe nikupe mafile hapa ya gb za kutosha ni 1080 mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…