Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,851
Oaa kaka nina shida na serize kinoma noma ujueOyaaaa
Zipo za kutosha kaka fatilia hili jukwaa. Nimeweka nyingi sanaOaa kaka nina shida na serize kinoma noma ujue
Wewe unaweka link...Zipo za kutosha kaka fatilia hili jukwaa. Nimeweka nyingi sana
Mcheki Scars ana mzigo wa kutosha sema andaa space movie na series zake ni 1080 series nilizo nazo Mimi kaka wewe huwezi kucheki crimeWewe unaweka link...
Achana na ku download mi nataka mtu awe nazo physical kaka kama zipo tuongee
Ngoja tamcheki...Mcheki SCAR ana mzigo wa kutosha sema andaa space movie na series zake ni 1080 series nilizo nazo Mimi kaka wewe huwezi kucheki crime
Kwanini kaka ndio mambo yangu...
Naipata kaka hiyo ni kalii sanaOa kuna mzigo unaitwa house ushawhi ucheki...
Vincenzo Jr
Oaaa weee inahusiana na nn hasa maana hapa sielewiNaipata kaka hiyo ni kalii sana
Zipo 3 kaka na niongeza tafuta Moja imetoka mwaka huu inaitwa dark matterKwanini kaka ndio mambo yangu...
Hii dark ndo inaitwa hv hv..
Ina seson ngapi
Mzigo wa dark nao unyama sana ngoja nianze kuusaka..Zipo 3 kaka na niongeza tafuta Moja imetoka mwaka huu inaitwa dark matter
Inamuhusu docta Gregory ambaye anatatua matatizo ya wagonjwa ndani ya hospital yaani kilakitu anatibu ingawa sio Daktari wa kimatibabuOaaa weee inahusiana na nn hasa maana hapa sielewi
Ni ipo full vipande 9Hyp dark matter ni completely au ndo kama bad land
Wabongo fitna nyingi😁😂😂😂Hi Mimi nilitumia sana Toka mwaka juzi na mwaka jana mwishoni tigo vpn Kuna file la vpn lilikuwa linapiga kazi fresh wabongo wakaripoti tigo
Ina seson ngao.Inamuhusu docta Gregory ambaye anatatua matatizo ya wagonjwa ndani ya hospital yaani kilakitu anatibu ingawa sio Daktari wa kimatibabu
Ukifika season 2 utakimbia😂😁😁Mzigo wa dark nao unyama sana ngoja nianze kuusaka..
We hauna hapo kaka