Series (Special thread)

Pole sana πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ tafuta TB 4 zipo kariakoo SSD
SSD external za saizi nyingi ni famba na ukiikuta ambayo ni real bei yake inakaribiana na kiwanja.

Nyingi ni miyeyusho ambazo zimewekwa fake capacity kama ile flash niliyouziwa mwanzo ya 2TB

Ambayo nilipoweka files za GB100 tu, baada ya hapo hata ukiweka picha ya KB2 haioneshi.
 
mchawi bando, ila huu uzi unatamanisha
Nakuelewa maana hiyo situation niliwahi kuipitia mwaka jana.

VPN ya ttcl ilipokuja nikatabiri neema lakini kama unavyojua kizuri hakidumu na adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe

Kweli baada ya muda mfupi wakushi wakakata nyaya na kila mtu akapoteana.

Sema nilikuja kugundua kuwa hii VPN mimi nilikuwa nimeipata kwa kuchelewa, wapo vibopa walioifaidi tangu inaanzishwa siku za mwishoni

Kuna raia way back walikuwa wameungwa halafu kuna time TTCL mtandao unakuwa slow mambo yao wanaona hayaendi halafu ukicheki na wao wamelipia hela.

Naskia walikuwa wanawapigia simu customer care, customer care akipokea tu jamaa anaanza direct "oya vipi wazee mbona VPN yenu inazingua na wakati nimeunga juzi tu"

Kwa hiyo naskia simu za namna hiyo zilikuwa nyingi na ndio zilizowasanua TTCL kuwa kuna mwanya ambao watu wanautumia kupata internet ya bure.
 
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hi Mimi nilitumia sana Toka mwaka juzi na mwaka jana mwishoni tigo vpn Kuna file la vpn lilikuwa linapiga kazi fresh wabongo wakaripoti tigo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…