Series (Special thread)

Kuna mahali nimepata hii series ya Power shida inakuja haina subtitles kila ninavyojaribu kudownload inakuja tofauti na mpangilio.

Kuna njia yoyote ya kufanya ili subtitles na maneno viendane?
Acha kuteseka mkuu download hiyo sub kwenye app ya video unayotumia kama ni vlc ni rahisi kupata subtitle
 
Weka link kwanza usiogopeshwe na maneno ya Scars 😁😁😁
Nilipewa recommendation na mwanangu na mimi nikaishusha baada ya kumuona Omar wa kwenye Lupin.

Ila nimeishia pale nilipokuwekea kile kipande

Sio kama mbaya hapana ila ngoja kwanza nimalizane na the wire
 
😂😁😁😁😁😁😁
 
Kama unapenda ngumi mwanzo mwisho itafute ila haifai kuangalia ukiwa na mtu unae muheshimu watu wanagongana sana humu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…