Series (Special thread)

Mnajitwisha ma series magumu ili iweje? 😁😁😁
 
Godfather of Harlem nimeimaliza rasmi jana na iko poa sana kama rate yake ilivyopewa.

Kitu kimoja tu ambacho nilikuwa naanza kuona kama director alikuwa anaenda kutukatili ni kuitamatisha Series kwa season 3.

Kiu ya audiences ni kuona muendelezo wa maisha ya Bumpy Johnson yanakuwaje baada ya yeye kuacha u-drug dealer.

Na vipi kuhusu kiapo chake cha kulipiza kisasi cha rafiki yake Malcom.

Na vipi Harlem itaweza kuwa kwenye utulivu chini ya imaya ya Chin Gigante ambaye amepewa full authority na Bumpy baada ya kujitoa kwenye game.

Lakini baada ya kuona hii picha kwenye ukurasa wa mmoja kati ya actor wa hiyo series nikajiridhisha kuwa director anaenda kukata kiu yetu.

 
Mnajitwisha ma series magumu ili iweje? 😁😁😁
Kuna muda mpaka naogopa kutoa maoni kwasababu ntaonekana ni mtu wa kupinga kila kitu.

Hiyo series aliniletea rafiki yangu mwaka juzi kipindi cha korona.

Kila nikiangalia nasema labda itachanganyia hapa lakini wapi. Najikuta nakimbiza episodes halafu bado sijaelewa lengo la director.

Ikabidi nipige chini niendelee na Blacklist tu.
 
Huu mzigooo unaendelea
 

The fall of the house of Usher

Mfululizo wa vifo vya utata vinaikumba familia ya tajiri moja anayemiliki kampuni za kutengeneza madawa ya binadamu.

Ifatilie kali sana ila inatisha balaa, nashauri usiangalie usiku. Enjoy🥰
 
Hii inafanana na travellers
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…