Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,259
- 79,851
Fall guy nimemalizana nayo Jana leo ngoja nitembee na hiyo boy kills world asante sana
Nzuri sana hii kakaFall guy nimemalizana nayo Jana leo ngoja nitembee na hiyo boy kills world asante sana
Mkuu hashira training naona wameachia episode mbiliDemon Slayer : The Hashira Training imetoka?
Nimezishusha tayari Mkuu. Shukrani Sana.Mkuu hashira training naona wameachia episode mbili
Binafsi anayenifanya nisiichoke ni Takamura😃Nimezishusha tayari Mkuu. Shukrani Sana.
Aisee Makonouchi Ippo. Bonge moja la Manga. Nimeikubali Sana Mkuu.
Takamura San, Kimura San na Aoki san. Hawa jamaa ni vichaa sana aisee.
Ha ha ha Takamura wanamuita King of Perverts msumbufu Sana afu Mbabe sana.Binafsi anayenifanya nisiichoke ni Takamura😃
Voice uliweka ya kijapan au ulibaki na ile ile English
Tupo pamoja me ndo nimezimaliza hapa Demon slayer Mkuu
Eeh ya kijapan ndo safi kakaHa ha ha Takamura wanamuita King of Perverts msumbufu Sana afu Mbabe sana.
Huwa napenda sana kusikikiza Kwa voice yao ya Kijapan ndio huwa naona napata kitu original.
English huwa naona kama sipati ile ladha maana inakuwa fake Sana.
Safi Mkuu. Leo ngoja nitembee kidogo na Hashira Training
Ndio ile dogo anapaa?
Ndio Ina story nzuri sanaNdio ile dogo anapaa?
Dah mbaliSeason 3 ya reacher inatoka mwakani View attachment 2999808
Polee kakaDah mbali