Hii series gani nimeona mwana mtaani anaipa promo ila kwakua namjua sio mtu wa vitu vikali nikampotezea.shogun imeisha wakuu series zinazofuata vitabu zinakuwaga kalii sana
Aloo trailer tu la dakika mbili limenishinda kumalizia.shogun imeisha wakuu series zinazofuata vitabu zinakuwaga kalii sana
We jamaa tulibishana sana kuhusu Homeland unakumbuka?Hapana labda kama nyie mmeamua kubadilisha kipindi hiki maana tangu miaka iyo hii lilikuwa thread ya series tu na thread ya movies ipo humu
Hiyo ni Japan hood😀Hii series gani nimeona mwana mtaani anaipa promo ila kwakua namjua sio mtu wa vitu vikali nikampotezea.
Ebu niambie kwanza ni Hollywood au ndio Bollywood wazee wa minyoka.
😂🤣😁😁😁😁😁😁😁Aloo trailer tu la dakika mbili limenishinda kumalizia.
Yale Yale ya mashuka mashuka kama Jumong
HuniangalishiHiyo ni Japan hood😀
Ni Hollywood mixer Asia ni series pekee Toka mwaka umeanza imekula watazamaji wengi Sana na Ina rate ya 9 pale IMDb story yake ni When a mysterious European ship is found marooned in a nearby fishing village, Lord Yoshii Toranaga discovers secrets that could tip the scales of power and devastate his enemies.Hii series gani nimeona mwana mtaani anaipa promo ila kwakua namjua sio mtu wa vitu vikali nikampotezea.
Ebu niambie kwanza ni Hollywood au ndio Bollywood wazee wa minyoka.
Home front vipi??Hii series gani nimeona mwana mtaani anaipa promo ila kwakua namjua sio mtu wa vitu vikali nikampotezea.
Ebu niambie kwanza ni Hollywood au ndio Bollywood wazee wa minyoka.
Amna wapo wazungu ni kama 3 body problem story ni ya kichina ila wazungu wameichukuaHuniangalishi
Mkuu nisamehe link ya mwanzo ilikuwa ya MangaZenitsu Agatsuma
Ha ha ha
Bwana mdogo anapigana kakamasi kale kakiwa kanabembea puani.
Hizo zijazicheki, vipi ni kali?
Ina husu nini?Home front vipi??
Nili mix kidogo, Nili maanisha fall outIna husu nini?
Inahusu nini hiyo?Nili mix kidogo, Nili maanisha fall out
Niliona mwanzoni tu, watu wana uana tu, Nika achana nayo.Inahusu nini hiyo?
Hujacheki mpaka leo mkuu?Person of interest nimeipenda description yake ngoja nimalizane na Power kisha nitaianza hiyo
Huwezi amini yani hadi mwenyewe najishangaaHujacheki mpaka leo mkuu?
NIpo na Shogun iko vzrTafuta zilizowekwa pitia post za nyuma bosi
Ukitumia iphone ndio kuna upuuzi huo.Nitajie jina mwaya, sie wa App tunateswa picha hazifunguki