Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,007
Link ya damsel
Hawa wanapaa sana😁🤣adriz, Selikavu moja ya chuma ambacho hutakiwa kuki kosa ukiwa hapa duniani🤓🤓.
View attachment 2932203
Hakuna Alie paa humo, lazima ujue Kuna wuxia na style nyingine ya kung fuHawa wanapata sana😁🤣
Wana paaHakuna Alie paa humo, lazima ujue Kuna wuxia na style nyingine ya kung fu
Acha uongo, kapaa nani humo??Wana paa
Nimekuuliza nipe jibu chinga ? Nimekuuliza wana paaAcha uongo, kapaa nani humo??
Kung Fu ya kupaa 😁🤣Hakuna Alie paa humo, lazima ujue Kuna wuxia na style nyingine ya kung fu
Kuuliza lazima uwe na alama hii?? Bhana🤓😆Nimekuuliza nipe jibu chinga ? Nimekuuliza wana paa
Kumbe😏Kuuliza lazima uwe na alama hii?? Bhana🤓😆
😅😅😅Guruadriz, Selikavu moja ya chuma ambacho hutakiwa kuki kosa ukiwa hapa duniani🤓🤓.
View attachment 2932203
😃😃😃Adriz ataniwakilisha😅Aisee adriz na Selikavu hi I vyuma lazima uvione, as long as bado una vuta pumzi🤓🤓.
View attachment 2932223
Nyingine utanisimulia tuu 😃speed yako siiwezi
Una niangusha sana kijana😂🤣, mbona season Chache hizo😂🤣Nyingine utanisimulia tuu 😃speed yako siiwezi
Hivi Ile Santo ya startimes mnge angalia nyinyi 😂😃😃😃Adriz ataniwakilisha😅
Kwa macho ya nyama ukiziangalia ni chache ila..Una niangusha sana kijana😂🤣, mbona season Chache hizo😂🤣
Hata TV kwangu sinaHivi Ile Santo ya startimes mnge angalia nyinyi 😂