Hii tushaaangalia Mkuu au ni season 2 imetoka ????Msije kusema sikuwaambia
Kama ilivyo kawaida yangu huwa si up rate Series mbovu
Mzigo huo hapa
Kwa faida ya kila mtu
Wale wazee wa 1080 wachukue hapa ina 19GB
Na wale wa 720 wachukue hapa ina 2GB
View attachment 2921776
Leta link ya 1080
No ni season 1 kumbe tayari mshaicheki??Hii tushaaangalia Mkuu au ni season 2 imetoka ????
Ngoja niidownload hii
Hii series imetoka mwanzoni mwa 2023, wengine mpaka tumesahau ilipoishia. Tupo tunasubiri season 2.Msije kusema sikuwaambia
Kama ilivyo kawaida yangu huwa si up rate Series mbovu
Mzigo huo hapa
Kwa faida ya kila mtu
Wale wazee wa 1080 wachukue hapa ina 19GB
Na wale wa 720 wachukue hapa ina 2GB
View attachment 2921776
Kwani mi nilichelewa wapi mbona humu haikuwa promoted?Hii series imetoka mwanzoni mwa 2023, wengine mpaka tumesahau ilipoishia. Tupo tunasubiri season 2.
Pitia nyuzi za nyuma mbona tuli ipamba sana hii series kalii sanaKwani mi nilichelewa wapi mbona humu haikuwa promoted?
Ni kweli imetolewa mwaka jana ila why Homeland ilikuwa inapewa rate sana na wadau wa humu wakati kuna Series bora hawaitaji?
Basi hamkuipamba vya kutoshaPitia nyuzi za nyuma mbona tuli ipamba sana hii series kalii sana
😁😂Ninavyokujua huenda uliiyona ila ukaachana nayo 😁🤣😁Basi hamkuipamba vya kutosha
Hii ni Series nzuri sana mneipigia promo kubwa ningewahi kuiona.
Pitia nyuzi za nyuma nimeweka hadi linkHakuna movie mpya zote ni zile zile.
Hapana Mkuu yani sikuwahi kabisa kuiona hata trailer😁😂Ninavyokujua huenda uliiyona ila ukaachana nayo 😁🤣😁
Polee sana kakaHapana Mkuu yani sikuwahi kanisa kuiona hata trailer
Sijui huu usiri mmeuanza lini humu ndani?
Naona leo sipo vizuri kabisa na wadau sijui mmejisahau vipi hata kunikosoa kwenye hii.
Umelewa Nini😂🤣😁Naona leo sipo vizuri kabisa na wadau sijui mmejisahau vipi hata kunikosoa kwenye hii.
Season 2 ilitoka mwaka jana mi mawenge yangu nikajua ni februari 17 ya mwaka huu
Na mmejikausha tu
Alooo
We bana wee pombe tunazisingiziaga tu ni mamipira hayaUmelewa Nini😂🤣😁