We Jamaa ni mbishi, walikuwa wawili, Brandon ye ana mambo yanayo tokea mbele bhana.
Dogo si aliuliwa na Yale majamaa kipindi Wana ingia, kwenye ule mti.
Napenda vitabu vya Lee Child, hasa vya Jack Reacher ila kitabu cha 'Bad luck and trouble' ambacho season 2 imetumia, sijawahi kukisoma.
Nilipata wasiwasi kidogo kwamba plotline hii inaweza kuzuia kuwa na seasons zingine ila naona bado show iko salama kama wakitaka kutengeneza seasons zingine.
Interesting note:
Season 2 ndiyo mara ya kwanza Lee Child mwenyewe hajafanya cameo kwenye movies au series za Reacher.
Pia nimesoma Lee Child ameacha kumuandika character Jack Reacher, ila kuanzia sasa atamrithisha kaka yake ambaye pia ni mwandishi, na atatumia jina la Child pia kwa vitabu vipya.