Series (Special thread)

Mkuu nashukuru sana nilibakiza hivyo vipande vya season 5. Nmemaliza season 4 kwakweli niseme sijui kama itakuja series nyingine yenye ladha kama hii yenye urefu kama huo isiyo isha uhondo kama hiyo. Ngoja twende na reacher tuone maana nayo naona inazidi kuwa ya moto
 
Kabisa Mkuu hiyo series ni kalii sana na kule kwenye lile gereza la kule uarabuni season 5 ni kalii sana ni balaa tupu sio powa aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…