Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,253
- 79,835
Mimi sipendi kuchoma macho na kuchosha ubongo kusoma subs. Weka link hapa ya dubbled <720p sio ile mizigo yako ya FULL HD 😂😂🤣🤣
Zipo hapa 👉👉Berlin - TodayTvSeriesZa dubbed bado hazijawekwa zote
Na zilizopo ni 1080 yani episode moja inaweza gonga hadi 3GB
View attachment 2858302
Hizi sites zenu mnaziwezea wenyeweZipo hapa 👉👉Berlin - TodayTvSeries
Mbona zipoHizi sites zenu mnaziwezea wenyewe
Hizo links mbona hazitoi option ya kuchagua resolution?
Dubbed nyingine hii hapa tena ina lugha tatu hadi kiitaliano kama unakiweza pia kipoMbona zipoView attachment 2858919
Kila unapo ona neno file hiyo ni link ya episode moja moja
Aaah sasa na nyie mtakuwa mna utaniWenye bando la mawazo waipakue hapa
Berlin (Season 1) [Action] Series Download | NaijaPrey
Berlin (Season 1) [Action] Series download mp4 | During his glory days, Berlin and a gang assembled in Paris for one of his greatest plans ever: stealing 44www.naijaprey.com
Hizohizo watu wanaziuza huko mitaani na watu wananunua 😁😁😁Aaah sasa na nyie mtakuwa mna utani
Episode kutoka 3GB imekuwa reduced mpaka kwenye 122MB hivi mnaona kweli kinachooneshwa?
Capacity ya 122MB kwa resolution hiyo sio 244 kweli??
View attachment 2858958
Hizi za wazee wa low quality 😂😁😁Aaah sasa na nyie mtakuwa mna utani
Episode kutoka 3GB imekuwa reduced mpaka kwenye 122MB hivi mnaona kweli kinachooneshwa?
Capacity ya 122MB kwa resolution hiyo sio 244 kweli??
View attachment 2858958
Nimeona kuna taarifa imetolewa kuwa mwaka 2025 asilimia 50 ya watu watakuwa na matatizo ya machoHizi za wazee wa low quality 😂😁😁
Sio kwa kufuatilia subtitles? huo utafiti utakuwa ni promo ya watu waunge mabando manene 😁😁Nimeona kuna taarifa imetolewa kuwa mwaka 2025 asilimia 50 ya watu watakuwa na matatizo ya macho
Kati ya hao 50% naliona kundi kubwa la waliopata matatizo ya macho kwa kuangalia low quality
Naunga mkono hojaNimeona kuna taarifa imetolewa kuwa mwaka 2025 asilimia 50 ya watu watakuwa na matatizo ya macho
Kati ya hao 50% naliona kundi kubwa la waliopata matatizo ya macho kwa kuangalia low quality
Au sioo, sie wa low quality hatupo jf 🤣Wenye bando la mawazo waipakue hapa
Berlin (Season 1) [Action] Series Download | NaijaPrey
Berlin (Season 1) [Action] Series download mp4 | During his glory days, Berlin and a gang assembled in Paris for one of his greatest plans ever: stealing 44www.naijaprey.com
Lipia Netflix mzee hiyo kuipata ngumu sanaMtu mwenye link ya Turkish series inaitwa Savasci naomba anipe. Yenye subtitles za English.
Kati ya hizi mbili hakuna anayoitafuta?Lipia Netflix mzee hiyo kuipata ngumu sana
I see. Mtu kanipa Ep 1-10 zipo, tamu sana ile kitu. Sasa zilizobaki ndo hamna kitu kabisaaa.Lipia Netflix mzee hiyo kuipata ngumu sana
Mkuuu,hiyo ya 2017 ndo yenyewe. Captain BozokKati ya hizi mbili hakuna anayoitafuta?
View attachment 2859117