Sijawah ipenda hii series..sijui kwa nini. Nilianza kuiangalia kwa hype ya watu ila nikashindwa kuendelea mapema kabisaStar kufa sio mwisho mbaya tatizo umezoea kuona protagonist anakuwa hero siku zote. Kumbuka kuna kitu kinaitwa
Tragedy Ending. Ndio hiyo sasa ππ
Hauko peke yakoSijawah ipenda hii series..sijui kwa nini. Nilianza kuiangalia kwa hype ya watu ila nikashindwa kuendelea mapema kabisa
Drug dealers series unayoikubali ni ipi?Hauko peke yako
Breaking Bad haina ukali huo banaa kama ma promotor wanavyoipigia promosheni
Aisee shukran sana nimetoka kuimaliziea THE AMERICANS hapa,hakika bando langu lilienda kiuhalali,ujasusi uliotukuka mno mle!ππ€£ππ Kabisa
NarcosDrug dealers series unayoikubali ni ipi?
Karibu kaka ile series ni kalii sana ukipata muda cheki na the spy na person of interest pitia na homeland zote ni za kijasusi pia niongeza ni alias nayo ni yamoto sanaAisee shukran sana nimetoka kuimaliziea THE AMERICANS hapa,hakika bando langu lilienda kiuhalali,ujasusi uliotukuka mno mle!
Hizo ni mbili tofauti? Halafu wakorea huwa naona kama walaini laini yaani hawana umafia ule wa ki mexico colombia na marekaniNarcos
Narcos Saint ya kikorea
The spay na hiyo person of int.. Ipi ni kali zaidi ya mwenzake?Karibu kaka ile series ni kalii sana ukipata muda cheki na the spy na person of interest pitia na homeland zote ni za kijasusi pia niongeza ni alias nayo ni yamoto sana
Narcos ya Mexico ile aliyocheza PabloHizo ni mbili tofauti? Halafu wakorea huwa naona kama walaini laini yaani hawana umafia ule wa ki mexico colombia na marekani
Naomba link ya hiyo ya pablo. Hiyo ya kikorea naona sura laini tu. Muvi/series za asia nilizo pata kuzikubali ni moja tu inaitwa IRISNarcos ya Mexico ile aliyocheza Pablo
View attachment 2854324
Na Narcos Saint
View attachment 2854325
Japokuwa Korea ni nadra kuona naangalia series zao ila Narcos Saint imetulia sana
IRiS hata mimi niliikubaliNaomba link ya hiyo ya pablo. Hiyo ya kikorea naona sura laini tu. Muvi/series za asia nilizo pata kuzikubali ni moja tu inaitwa IRIS
Ngoja nichote episodes 2 nianze nazo hapo kwa saintsIRiS hata mimi niliikubali
Ila hii Narcos Saint iangalie tu episode mbili za mwanzo ukiona miyeyusho ipige chini
Ni nzuri nakuhakikishia
Narcos Mexico
Narcos Saint Dubbed 720
Link ya saints ipost upya haikubaliIRiS hata mimi niliikubali
Ila hii Narcos Saint iangalie tu episode mbili za mwanzo ukiona miyeyusho ipige chini
Ni nzuri nakuhakikishia
Narcos Mexico 1080 (16.51GB)
Narco Saints Dubbed 720 (2.97GB)
Person of interest ila humu Kila episode Kuna kisa kipyaThe spay na hiyo person of int.. Ipi ni kali zaidi ya mwenzake?
Homeland niliikubali.alias na person of interest zilinishinda kabisaa toka mwanzo.Karibu kaka ile series ni kalii sana ukipata muda cheki na the spy na person of interest pitia na homeland zote ni za kijasusi pia niongeza ni alias nayo ni yamoto sana
Ok itafute the 100 na Berlin station pamoja na hanna niongeza weka justifiedHomeland niliikubali.alias na person of interest zilinishinda kabisaa toka mwanzo.
Hiyo the spy sijaicheki ila inanitia uvivu fupi sana,naisubiri angalau watoe season ya pili
Hivi ina kamkong'oto? Na inahusu nini haswa? Kama imechangamka weka link hapaπ₯π₯π₯π₯π₯View attachment 2854945
Inamhusu sheriff mmoja hivi akipambana na magaidi ndani ya mji wa KentuckyHivi ina kamkong'oto? Na inahusu nini haswa? Kama imechangamka weka link hapa