Series (Special thread)


Kim alipokuwa mdogo, Mama yake alifariki kutokana na kipigo kutoka kwa muhuni mtaani tena bila kosa. Huyo muhuni akafungwa miaka 03 na nusu then alipotoka akaendelea na uhuni.

Baadae dogo anaamua kuanza kushikisha adabu wale masela mavi na wahuni wote ambao wanavunja...

sheria then sheria hiyo hiyo inawatetea. Mzigo una episodes 08 tu πŸ’ͺ, dogo anadunda huyoo!
Credit by fahamu movie
 

Before I leave this cel.. Our friendship goes with it.

Hapa mzee ambaye rafiki yake kipenzi ni "nyau" humo gerezani akichimbwa mkwara ili ataje aliye muuwa askari mwenzake Aitwaye Bob na huyo msaidizi wa mkuu wa magereza kwenye prison break. Anaye onekana pichani.

nimeamua kuirudia prison break and dont ask me why 😁😁😁😁
 
Bado tu upo na PB?

Au ndio wale wa kurudia series?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…