Series (Special thread)

Mkuu hizi ni za kustream online tu mbona kidownload zinagoma
 
Ukiifungua 1DM utabonya hapo kwenye hiyo icon ya 🌍 nikiyoizungushia duara

Hapo itafunguka browser ambayo ndio utaweka link yako ya site
Ila kwenye download nikibinya naona sielewi hapa
 
Ila kwenye download nikibinya naona sielewi hapa
Ili uweze kudowload unatakiwa u play hiyo video kisha hiyo download bar ita detect hiyo video utaona ime change rangi na kuwa nyekundu pamoja na number

Mfano uki play hiyo video chagua resolution unayoitaka ikisha load tu angalia download button utaona ime catch. Uki bofya hiyo download button utaona list ya resolution ya hiyo video.

So lets say video ulipo play mwanzo ilikuwa na automatic Quality ambayo ilikuwa ni 360 halafu baadae ukaamua u change kuwa 720 au 1080 basi kwa kufanya hivyo ile download button itakuwa ime catch Quality zote

So ukibofya hiyo download button utaona list ya video Quality zote pamoja na size zake

Hapo ku download ni one click tu

Nitaweka hapa video ya maelekezo ila kwa sasa mtandao wa Airtel unasumbua so hata internet imekuwa ya on and off
 
Charles kilian
Mr Q
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…