Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,111
- 95,787
Kaka hiyo kitu siwezi kabisa, tena Niki taka kurudia Akili yangu Ina nionyesha matukio yote aiseeπ€.Mnawezaje kuangalia series zaidi ya mara moja mbona hii mimi kwangu inanishinda?
Mi labda niangalie highlights yani vipande vipande vile vyenye scenes zilizo nikosha.
Lakini kuanza upya season 1 episode 1 mpaka unamaliza series yote huku ukijua kila tukio linalofuata mbona haileti mzuka kabisa....
Breaking bad nime ona ime pia mwanzoni na mwishoni.Breaking Bad kwangu naiona ipo overrated haina ukali huo ambao watu wanausema.
Blacklist na Breaking Bad naenda na Blacklist
Oya Merlin ni bonge ya series niliangalia kitambo sanaIkikubamba unarudia tuβ¦
Merlin nimeangalia mara 3
shule za uniform, chuo.. na hapa uzeeni weeks kadhaa zmepita nmetoka kuirudia π€£π€£
Mbona mi Break bad mwishoni ndio nimeiona kali kuliko ilivyo anza?Breaking bad nime ona ime pia mwanzoni na mwishoni.
πMwandishi kaimaliza kiwaki Sana,
Kwa upande wangu mimi, naweza nikapanga nirudie Prison Break kuanzia Season 3 nione mchaka mchaka wa Mahone na Michael, basi nikianza ep 1 inanivuta mpaka namaliza ep ya mwisho. So mara nyingi huwa sio series yote.Mnawezaje kuangalia series zaidi ya mara moja mbona hii mimi kwangu inanishinda?
Mi labda niangalie highlights yani vipande vipande vile vyenye scenes zilizo nikosha.
Lakini kuanza upya season 1 episode 1 mpaka unamaliza series yote huku ukijua kila tukio linalofuata mbona haileti mzuka kabisa....
Maisha ya Jesse yali endelea vipi??, Au ndo Mana wali toa movie ya el minno??Mbona mi Break bad mwishoni ndio nimeiona kali kuliko ilivyo anza?
Au kufa kwa Walter White ndio kulikufanya uichukie?
Aiseeππ€£π€£, mi kila siku nalala kesho Kama mshamba_hachekwi πKwani hata naweza kuangalia movie siku hizi? Na hizi mvua nalala saa 12 siku hiziππ
Audiences walilalamika hivyo ndio maana wakaja na hiyo el ninoMaisha ya Jesse yali endelea vipi??, Au ndo Mana wali toa movie ya el minno??
Hivi reddington ndo amekufa kiboya vile kw kuuliwa na ling'ombe?Breaking Bad kwangu naiona ipo overrated haina ukali huo ambao watu wanausema.
Blacklist na Breaking Bad naenda na Blacklist
Ikitoka na ukapata dubbed tafadhali uweke link
Yaani una pewa mchongo, Kisha una chomeshwaπ€£ππHivi reddington ndo amekufa kiboya vile kw kuuliwa na ling'ombe?
Nilipofika Season 9 ilinikata stimu kwa yale ma animation nikaiweka kando.Hivi reddington ndo amekufa kiboya vile kw kuuliwa na ling'ombe?
Huo ugonjwa sina ππππAiseeππ€£π€£, mi kila siku nalala kesho Kama mshamba_hachekwi π
DHmah Niko na vyuma vya kichina saa hiziπ€£ππHuo ugonjwa sina ππππ
Weka link chap