Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kaka kuhusu hii airtel. Ni unaweza kutoa info zaidi. Nipo na jirani yangu tunataka kuchukua haka kadude tuwe tunashare cost.
Kaka hii router yake inauzwa laki mbili na 10 halafu utakuwa unalipia pakage zake zipo aina 4 ila cha chini ni 70 k
Screenshot_20231014-112820.jpg
 
Kuna kile kipande ni season 4 ilee ilipigwa battle kati ya wahuni wa mtaa na polisi aloo mpaka umeme ulizimwa sio powa pale ndo yule binti polisi alipo fariki
Ilikua season ya 3, hapo binti katoka kumshtukia mshikaji kumbe sio polisi ni muhuni fulani aliyefoge identity.....

Battle niliyoikubali zaidi ni ya Anna/Carrie na Olek, duuh walipigana karibu nusu saa, hadi nilikua nayahisi maumivu yao.
 
Kaka hii ni ya single movie ukitaka series ingia pirate bays muhimu uwe na torrent
Pia jamaa kama anapenda direct downloads kuna MOVIESMOD.ORG
MOVIESMOD.ORG

hawa jamaa wanaoffer quality tofauti na series wanaoffer kudownload kaa batch (full seasoon)

Server zao pia ni nzuri sana kwa speed

Pia movies na series zao almost zote zina subtitles na pia nyingi zina dual audio kwa zile ambazo hazitoki kwa kizungu

Chini hapo ni mifano ya batch download nilizofanya recently
id.jpg
 
Pia jamaa kama anapenda direct downloads kuna MOVIESMOD.ORG
MOVIESMOD.ORG

hawa jamaa wanaoffer quality tofauti na series wanaoffer kudownload kaa batch (full seasoon)

Server zao pia ni nzuri sana kwa speed

Pia movies na series zao almost zote zina subtitles na pia nyingi zina dual audio kwa zile ambazo hazitoki kwa kizungu

Chini hapo ni mifano ya batch download nilizofanya recentlyView attachment 2815744
Naunga mkono hoja 👍👏👏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom