Series (Special thread)

Inahusiana na nini? Nipe kwa ufupi
Father Vergara ni exorcist - Hawa ni wale ambao wanatibu watu wanaosumbuliwa na pepo na nguvu za giza. Sasa huyu Father alikua exiled kuna vitu vilitokea!

Akapelekwa huko ndani ndaani katika kamji kamchongo, akiwa huko kuna matukio ya ajabu yanaanza kutokea....

Katika kuanza kufanya utafiti anagundua kuna mpango wa kihuni ambao unasukwa!

Tena huo mpango unahusishwa na zile sarafu za silva 30 alizopewa Yuda Eskariot kumsaliti Yesu, sasa inasemekana kuna moja ipo ambayo ina uwezo wa kufanya mambo mabaya....
 
Story yake ipo poa nimeipenda shukrani mkuu
 


Chuck nimeibwaga baada ya kuangalia episode 4 za mwanzo.

Ina mzaha mwingi imenishinda.

First episode ilianza vizuri nikaipenda lakini huko mbeleni sijui director aliamua kutuchukuliaje audience

Narudi kuendelea kuangalia "Who killed Sara" niliishia episode 8
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…