Niaje, unaweza nisaidia link ya ku-download City hunter Korean series?Kabisa kaka ππ
Niaje, unaweza nisaidia link ya kudownload City hunter?
Monkey D. Luffy'and Im going to be king of the pirates'[emoji1][emoji1][emoji106]View attachment 2785121
So far best netflix tv show kwa mwaka 2023'and Im going to be king of the pirates'[emoji1][emoji1][emoji106]View attachment 2785121
Inaitwaje?So far best netflix tv show kwa mwaka 2023
One pieceInaitwaje?
Mkuu lupin ni chuma nayo π₯π₯One piece
Kabisa kazi ya maana sanaMkuu lupin ni chuma nayo π₯π₯
Devil fruit eater πππMonkey D. Luffy
Hadi na wewe umeipenda nikadhani utahisi ni katuni [emoji38]Devil fruit eater [emoji16][emoji16][emoji16]
Miguu yake next season itakuwa hivi
View attachment 2785368
Kuna wadau wanatoa mkong'oto humo halafu ina shabihiana na ile ya outet banks mambo ambayo huwa nayapenda sana hivyo nisinge acha kuipenda series hiyoHadi na wewe umeipenda nikadhani utahisi ni katuni [emoji38]
Jamaa anapiga sana alimchapa yule papa bishoo hadi alishangaa
Nimeitafuta kumbe ni cartoonDevil fruit eater [emoji16][emoji16][emoji16]
Miguu yake next season itakuwa hivi
View attachment 2785368
[emoji28][emoji28][emoji28]achana na ile cartoon wameifanyia adaption hipo kwenye live action itafuteNimeitafuta kumbe ni cartoon
Na ina Tv show ndani yakeNimeitafuta kumbe ni cartoon
Papa bishoo anaongea sanaJamaa anapiga sana alimchapa yule papa bishoo hadi alishangaa
Sana ila anapiga ngumi huyoPapa bishoo anaongea sana
Maze baba nipe link ya Movie ya Some like it rare yenye mb ya kawaidaSana ila anapiga ngumi huyo