Series (Special thread)

Kuna mtu aliirecommend nikaona sio mbaya ngoja nipitishe macho na mie, ni nzuri ila Wakorea wapunguze masikhara bhana, kwani hawawezi kufanya serious movie mwanzo mwisho hadi uchale uchale, aaargh, nipo ep 2View attachment 2768872
Nami nimepunguza morale ya kuendelea kuitazama zaidi kwasababu ya hicho hicho.

Tena nimeipakua kwa 20GB ila mpaka saizi nimeangalia episode 5
 
Na hii pia nimeiona kwenye recommended lakini niksipita.

Ila kinacho nichanganya ni kywa nakumbuka The Nun niliwahi kuiangalia miaka 4 iliyopita.

Sasa hii ya 2023 sijajua ni muendelezo au ni nini, ila hata cover naona kama ni ileile.
Ni muendelezo kaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…