Series (Special thread)

Be advised..

Sio kila series inayopostiwa humu ukajua ni kali ukaivamia.

Kuna jamaa ana exaggerate mambo ili aonekane anajua series na kukosolewa hataki..

Mtakuja nishukuru baadae.
Daah sure kabisa...
Naungana na wewe maana...
 
Be advised..

Sio kila series inayopostiwa humu ukajua ni kali ukaivamia.

Kuna jamaa ana exaggerate mambo ili aonekane anajua series na wakati hana alijualo na kukosolewa hataki..

Mtakuja nishukuru baadae.
Unanisema si ndio una bonga kama mtoto wa kike acha ushamba na ulimbukeni mdogo wangu nilikwambia toka juzi humu hapakifai nenda kaangalie zilizo tafsiriwa na mapimbi wenzio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…