sasa mf hapa cm ina 6.1 nchi naEnjioy nn 🤭Kabisa now asubuhi natizama kwenye simu jioni natizama kwenye pc hapa natizama the wheel of time season 2 ep 6
Wee atumie dawa amepima 🙂Uwe una tumia xsone dawa ya macho, + pedinilisone ya vidonge.
🤣🤣🤣😂😁Unadownload movie yenye quality kubwa dada yangu🤣sasa mf hapa cm ina 6.1 nchi naEnjioy nn 🤭
Unaijua lakini rangi ya blue ilivyo na hamsha hamsha?Dada una umiza macho washa nyeupe
Na nilivyo na vidonda vya tumbo ni kinywa dawa bila kupima ntalia sana😭😭Wee atumie dawa amepima 🙂
Hiyo haina effect, Tena Ni recommended.Wee atumie dawa amepima 🙂
Iko vizuri sana nilikuwa sijui mwee😍😍Unaijua lakini rangi ya blue ilivyo na hamsha hamsha? View attachment 2767162
Hivyo vIdonda nili kwambia meza, tramadol, omaplazole, amoxilin na magnesium ya maji.Na nilivyo na vidonda vya tumbo ni kinywa dawa bila kupima ntalia sana😭😭
Hapoo sipa wezi🤣😂, macho yangu nayapenda🤣Unaijua lakini rangi ya blue ilivyo na hamsha hamsha? View attachment 2767162
Nimeanza jana kaka leo na nafuu nilikuwa nashindwa hadi kutembea saiv napata nafuuHivyo vIdonda nili kwambia meza, tramadol, omaplazole, amoxilin na magnesium ya maji.
👉Uta kaa fresh within 2 days bro
🤣🤣🤣Hapoo sipa wezi🤣😂, macho yangu nayapenda🤣
Broo Hiyo kitu sio mchezo, uki ongea Sana. una sikia maumivu sio POA.Nimeanza jana kaka leo na nafuu nilikuwa nashindwa hadi kutembea saiv napata nafuu
Hapo naona Kama niko gizani🤣😂
Asubuhi nakunywa omeprazole kimoja na ya maji mchana na jioni natumia ya maji usiku nikilala napiga tramadolBroo Hiyo kitu sio mchezo, uki ongea Sana. una sikia maumivu sio POA.
👉Una vimezaje??
Sema tramadal mbona zinanipa nguvu sana 🔥 leo nimemkamata mke wangu hadi kachelewa kwenda kariakoo hadi kaniambia hiv unaumwa we au unani igiziaBroo Hiyo kitu sio mchezo, uki ongea Sana. una sikia maumivu sio POA.
👉Una vimezaje??
Chukua na amoxilin, kutwa Mara 3.Asubuhi nakunywa omeprazole kimoja na ya maji mchana na jioni natumia ya maji usiku nikilala napiga tramadol
Ndo uni lipe Sasa😂🤣🤣🤣,Sema tramadal mbona zinanipa nguvu sana 🔥 leo nimemkamata mke wangu hadi kachelewa kwenda kariakoo hadi kaniambia hiv unaumwa we au unani igizia
Nikiona peacock nakumbuka Bel Air 😩Nzuri sanaView attachment 2767167