Series (Special thread)

Usiangalizie kwa Pc tu.
Inaua macho

Kuna week nilikuwa likizo, nikafululiza nakimbizana na Merlin niimalize. Nimekuja kumaliza nikaanza kufeel wenge flan.
Mimi macho yakiniuuma navaa mewani toka mwezi wa kwanza hadi leo nacheki movie na series mfululu hadi kichwa kinauma🤣🤣🤣😂😂😁
 
Mimi macho yakiniuuma navaa mewani toka mwezi wa kwanza hadi leo nacheki movie na series mfululu hadi kichwa kinauma🤣🤣🤣😂😂😁
Haha miwani siwezi kuvaa jamani

Emu tuyalinde haya macho.. kuanza kutizama watu kwa kulipia hapana bana 😂

Usijiumize sana
Uwe unajipa brake, ama brake ni wakati wa kuoga tu 🤣🤣
Heri Tv kidogo iko mbali. Ila Pc ndi balaa
 
Kabisa now asubuhi natizama kwenye simu jioni natizama kwenye pc hapa natizama the wheel of time season 2 ep 6
 
Usiangalizie kwa Pc tu.
Inaua macho

Kuna week nilikuwa likizo, nikafululiza nakimbizana na Merlin niimalize. Nimekuja kumaliza nikaanza kufeel wenge flan.
Kwa simu ndo una jiumiza wewe, afu mkiangalia tv, simu au pc msi zime taa🙏.
👉Lazima mwanga utafute exit ya kwenda, na sio kuushia machoni. Science Hiyo😂
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…