Series (Special thread)

Berlin anakuja na Money Heist mwezi wa 12 tarehe 29

Nimecheki trailer iko poa haiwezi kuwa miyeyusho kama ile ya Korea
 
Hiyo money heist inaendelea au isijekua ni ule ujinga wa money heist ya kikorea wa copy and pest ndio inaendelea, hivi huwa najiuliza hapa netflix waliwaza niny!
 
Sio Netflix ni Korea wenyewe walipenda idea wakauziwa, wakazingua.

Hii ni ya namna nyingine ila script ni ile ile kuhusu wizi.

Na uziri Berlin ndio character yule yule kwenye Money Heist ya kwanza so haiwezi kuzingua.
 
Ila inaonekana ni spin-off
 
Into the bad land,jale ka dada ka tilda na mwenzake,vilikuwa vinanyonyana,ushenzi kabisa,see yule mshenzi mama marikia,anajichua na kunyonywa k,harafu vile vitoto vya kike mwishoni kabisa vinafunga ndoa,yaani mwanamke anamuoa mwanamke, rubbish kabisa,season nzuri wanaziwekea ujinga
 
Wale ni lesbian mie nikiona nacheki series ina mambo hayo napeleka mbele tu sema wanazingua sana skuiz
 
Hiyo money heist inaendelea au isijekua ni ule ujinga wa money heist ya kikorea wa copy and pest ndio inaendelea, hivi huwa najiuliza hapa netflix waliwaza niny!
Hiyo ni adoption ni nzuri sana kwa biashara ni sawasawa na msanii nyimbo yake ikiwa hit anafanya remix ili kuongeza ukubwa na kupata maokoto zaid , ile money heist yakwanza kule Korea waliikaa isioneshwe sababu inasapoti ushoga
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…