- Sasa kwei really ni vyema nikaconcern your age, we unajali MIDI, sasa control ya MIDI support kwenye FL 11, utafananisha na ya FL 12 ?
- yani still you don't have fact, hapa naona unatoa tu za wenzio huko mtaani kwako na sensa yako fake ya watumiaji wa FL 11, huna evidence, njoo hapa usibitishe kuwa watu wengi wanatumia FL 11.
- FL 12 MID support ni advanced mzee full customizable sio kama MIDI Support ya FL 11, sasa kama hapo ndio maana unashindwa kuelewa maana ya updates, yani unachokitaka wewe wanakufungua zaidi huko gizani uliko kwenye 11 kwamba huwezi customize MIDI Controller unayoitaka wewe kama FL 12, lakini we hutaki, haya basi kama hutaki kaa kimya watumie wanaopenda, mfano wa Apollo Brown niliokupa ungetosha kunielewa, lakini wewe hautaki unataka siasa bila ya evidence yeyote.
- FL studio 12 is the now days technology, nimekuelezea pale juu ujio wa Flat UI ukawa hujanielewa bado, FL 12 wameleta Multi Touch sio kama FL 11, kama wewe hautumii touch support devices usilalamike, acha wanaotumia watumie ndio mana unakutana na Multi Touch kwenye FL 12.
- Unaweza kudrag multiple files kwenye playlist sio kama FL 11, unayoitaka wewe.
FL 12 wameleta support ya Launchpad MK2, kama unapiga chops unaweza nielewa.
- FL 13 Image-Line Wanavyokuambia wanakuja na Fruity Delay 3, unafikikiri, nini ? na hata ukitaka kuipata unafikiri utaipataje ? subiria FL 13, Mana updates za version 12, wamemaliza.
- Nasisitiza chagua DAW unayoimudu.