Serial Key FL 12.5.1.5

Serial Key FL 12.5.1.5

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,960
Heshima kwenu wakuu.

Naomba msaada wa RegKey za FL12.5.1.5 nimei-download ila imefunguka kama demo.

Mwenye Key naomba anisaidie please.

Thanks.
 
mi ningewapa wazee yan imepotea juzi tu, kuna ka dll file nilikuwa natumia ku patch fl yeyote ile kuifanya iwe full sema nimeweka windows 10 ikadai niformat drive toka mbr to gpt ikafuta kila kitu yani, project na plugin zangu dah
 
Nimetoka kufanya installation sasa hivi, bt me I hate FL 12....., naona ipo kama game hivi, aisee for seriously better FL 10.&older
 
Ilikuwa haina haja ya koconvert from MBR TO GPT. Ungeweza kupiga window bila kukoconvert. Ulitumia hii kitu Rufus. Yenyew ili upige window itakuhitaji uconvert to GPT.
Ungetumia njia ya kawaida ya kuformart Flash drive kwa mfumo wa NTS na ingekuwa rahisi kupiga window wala isingekuomba uconvert to GPT.
Kama ilikuwa inashindikana kwa hili ungerepair MBR na ungeweza kutumia flash yako kupiga window kwa njia ya NTS format.
 
Dah nilitafuta solution mpaka nikachoka, nilikuwa naona kuna kitu inaitwa EaseUS partition nayo watu wengine iliwafaa wengine haikufaa halafu ilikuwa ya kununua dola 50.
Nikaona kama mbwai mbwai nikatiririsha command tu kumbe ndio ilifuta kila kitu!
 
R
Ilikuwa haina haja ya koconvert from MBR TO GPT. Ungeweza kupiga window bila kukoconvert. Ulitumia hii kitu Rufus. Yenyew ili upige window itakuhitaji uconvert to GPT.
Ungetumia njia ya kawaida ya kuformart Flash drive kwa mfumo wa NTS na ingekuwa rahisi kupiga window wala isingekuomba uconvert to GPT.
Kama ilikuwa inashindikana kwa hili ungerepair MBR na ungeweza kutumia flash yako kupiga window kwa njia ya NTS format.
Rufus ndio ikoje hio
 
R

Rufus ndio ikoje hio
Ni program inayosaidia kutengeneza window bootable image( Bootable flash drive) unapotaka kuinstall kwa kutumia flash drive .Hilo tatizo hata mm nishakutana nalo. Kuna window niliinstall ikakataa kwahiyo ikanitaka ni change from MBR TO GPT hii baada ya kutumia rufus sbb njia ya kawaida ilifeli. Hata ukijaribu kuinstall window yyte kwa njia ya kawaida ya kuformat flash drive kwa njia ya NTFS ilikuwa inafeli. Ikabid nitumie EUSUS PARTITION WIZARD kurepair MBR
Ungeuliza JF ungepata jibu
 
Sasa hi eusus ukishafanya mandingo ukienda kwenye installation haigomi?
 
Hapana. Baada ya kuinstall utaenda kwenye repair mbr itakuomba utengeneze bootable flash drive au cd kwahiyo kuna kitufe pembeni. utakibonyeza na itatengeza yenyewe. Ikimaliza una restart pc kipind inawaka unabonyeza button ya kuboot inategemea na pc yako yangu ni F9 kisha utaona flash yako utaclick hapo na kisha utarepair.
 
Bas mashavu
 
Nimetoka kufanya installation sasa hivi, bt me I hate FL 12....., naona ipo kama game hivi, aisee for seriously better FL 10.&older
Joe you gotta sound like 8 years shagging baby, You better hate your work flow buddy, ain't that much FL savy user but Image-Line always reinvent the wheel to deliver best updates on their software, Don't hate flat UI or you better make your own universe, game has changed boy.
Even microsoft kicked Material design when releasing windows 8, take a look on how many other software companies did the same.
 
Hey,i know In and Out about FL studio, and I've been using FL studio for years and other production software pro like Pro-tools,studio One and Logic pro X, so najua nazungumzia nini,ku upgrade kunaweza kuleta mapokeo hasi au chanya kwa watumiaji,sasa kwa taharifa yako karibia best producers wote hapa tz wanaodeal na hii FL, hawaipendi 12....kwasababu zakiutaalam na Si muonekano tu,bt anyway pengine huo ni mtazamo wangu Si lazima nawe uelewe.
 
nilijua nipo pekeyangu ambae siikubali fl 12 Asante mkuu tupo pamoja.
 
Hey,i know In and Out about FL studio, and I've been using FL studio for years and other production software pro like Pro-tools,studio One and Logic pro X, so najua nazungumzia nini,ku upgrade kunaweza kuleta mapokeo hasi au chanya kwa watumiaji,sasa kwa taharifa yako karibia best producers wote hapa tz wanaodeal na hii FL, hawaipendi 12....kwasababu zakiutaalam na Si muonekano tu,bt anyway pengine huo ni mtazamo wangu Si lazima nawe uelewe.
Uko sahihi kabisa mkuu, fl 10 ni bora zaidi kuliko 12 kwa ubora wa kazi na hata muonekano.
 
Back
Top Bottom