lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,387
Pamoja mkuunilijua nipo pekeyangu ambae siikubali fl 12 Asante mkuu tupo pamoja.
Pamoja mkuunilijua nipo pekeyangu ambae siikubali fl 12 Asante mkuu tupo pamoja.
Kweli kabisa,waelewa wanaelewa mkuuUko sahihi kabisa mkuu, fl 10 ni bora zaidi kuliko 12 kwa ubora wa kazi na hata muonekano.
Duh mbona ya zamani hiom pia naztafuta hzo keys kwa sasa natumia FL 10
Kuna mshikaji wangu anayo hayo madude ila mimi siyaelewielewi hiviHeshima kwenu wakuu.
Naomba msaada wa RegKey za FL12.5.1.5 nimei-download ila imefunguka kama demo.
Mwenye Key naomba anisaidie please.
Thanks.
mi ningewapa wazee yan imepotea juzi tu, kuna ka dll file nilikuwa natumia ku patch fl yeyote ile kuifanya iwe full sema nimeweka windows 10 ikadai niformat drive toka mbr to gpt ikafuta kila kitu yani, project na plugin zangu dah
Hypersonic ya zaman brother??Duh mbona ya zamani hio
Poakaribuni soundcloud.com/ebeatstz kusikiliza beats zangu
Asantebkwa ushauri kaka ntajitajd zaid bado ni beginnerKuna baadhi ya ladha umetunyima mkuu beat haijaisha aisee. Kick sijaskia na vitu vingine vingi tu kiongozi.
Sawa sawaBTW inaenda poa kabisa fanya kuimalizia sio.
Boy you much knowing about other DAW should never made you underestimate FL STUDIO 12.Hey,i know In and Out about FL studio, and I've been using FL studio for years and other production software pro like Pro-tools,studio One and Logic pro X, so najua nazungumzia nini,ku upgrade kunaweza kuleta mapokeo hasi au chanya kwa watumiaji,sasa kwa taharifa yako karibia best producers wote hapa tz wanaodeal na hii FL, hawaipendi 12....kwasababu zakiutaalam na Si muonekano tu,bt anyway pengine huo ni mtazamo wangu Si lazima nawe uelewe.
Boy you much knowing about other DAW should never made you underestimate FL STUDIO 12.
I've seen a lot of kids new to the game trying to show such kind of insanity.
A thing you still don't understand is that, this is JamiiForums Tech & Gadgets don't try to argue with others opinions, are you really a producer/beatmaker or googler ? you better say what those technical problems are in FL STUDIO 12 before defending your self with such words from your so called best producers in Bongo Tz, then understand what is the meaning of updates, if you don't have any go to sleep and have nice dreams.