Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Hivi huyu mtangazaji katoka kwenye kigodoro au? Ni aibu sanaaaa ni zaudi ya kituko kweli fani imevamiwa hadi mwenyewe anaona aibu kweli hata kama kashtukizwa hata yy kuenda huko hakujiandaa?View attachment 194561
Omy dimpoz hamna kitu,pamoja na masarakasi yake
Matumbo ni mtu wa kumuhurumia tu,hajui atendalongoma ya watoto huwa haikeshi,,nataka nimuone matumbo amwage damu mana alisema kama davido atapanda damu itamwagika
haa haa chezea boom la kwanza la loan board
Matumbo ni mtu wa kumuhurumia tu,hajui atendalo
Hahahahaha kaka umeua hahahahaha kaanza starehe twenti fotini
Hahahaaaaaaa
mkuu atakua first year huyo si unajua wameshafungua chuo na mara ya kwanza kwenda kwenye show
haa haa chezea boom la kwanza la loan board
Alikiba kwenye stage huwa hana jipya kabisa!
geniveros miss strong mko wapi leo jamani???Kiba akipaform nitafurahi na nani???
wako fiestani hao....mimi nipo ntafurahi na wewe
Ivi recho anapafom kwa lipi labda.....
NafuatiliA via TBC