Ali kiba ana kabahati ila naye aache kuvaa skuna sijui moka zile. ..atoke kistaa mambo ya kuvaa kama mwalimu mpya wa shule ya msingi jukwaani siyo mpango. ...diamond achukulie poa kuzomewa kwani wahudhuriaji wa fiesta tunawajua watu wa design gani,ndo maana daladala huwaga nyingi leaders,tunakumbuka mlimani city balaa ulilolifanya
Hapanaa niliangalia TBC,,siwez kwendaaa
Loh we mwanamke mlikumic ujue afu ionekani ati adi nmekuja kukusaka huku
Dada acha taarabu, Bongo yako yenyewe sijakanyaga ngoma kama tatu flani hivi. Saa hizi niko na bata la kuaa mtu hapa. Pole sana kama unafikiri Diamond na Kiba ndo deal.
Vipii mbona jina limerudi tenaa hhhhhaaa,nimekumiss pia mwayaaa
Hahahaaa nmeona watu wanaangaika kunitafta
Namuhurumia mama yako
Jana waliofunika ni mabinti wote wa Tz. Mdee, Recho, Shaa, Lina walikuwa ni shiiidah. Good performance. Fa steji lote kuuubwa anajaribu kulitawala mwenyewe, lilimtawala. Weusi nao badala ya kupagawisha mashabiki, wanatumia muda mwingi kuimbiana wao wenyewe (yaani wanatengeneza kaduara kao na kuanza kuimbiana), kwa mimi perfomance nzuri ya wanaume ilikuwa ni Kiba na Diamond na Ommy. T.I mitusi tuuu.
Kwangu mimi kuzomewa na mashabiki siyo ishu as long as it's not manipulated by someone anatakiwa adadisi kwanini kazomewa then ajirekebishe maisha yaendelee . BUT kama kazomewa kumeratibiwa na msanii mwenzake then ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa tasnia hiyo na wasanii (copying & paste will continue to others)
Haya, napmba msamaha. Nawe matusi yako unayasahihishaje?we bwana mdogo kwanini umeamua kutukana WATANZANIA kiasi hiki? yaani Watanzania hatujitambui,hebu omba msamaha na usijaribu tena kututukana Watanzania,ungekuwa karibu yangu saizi ndugu zako wangekuwa wanakuuguza maana ningekukata kereeebu hilo...uwe unatukana Wanyarwanda wenzako
nioneshe tusi nililotukana hapoHaya, napmba msamaha. Nawe matusi yako unayasahihishaje?
kwani mashabiki wanalipia hela kumuona promota akiimba ama domondi?
Ndugu uko wapi? Mbona hii issue ishaelezwa sana hapa jamvini???
Davido alikua ashachukua advance ya mpunga kutoka Times Promotion kwa ajili ya show ya climax inayofanyika tarehe 1 Novemba hapa Bongo. Na kwenye matangazo ya Radio Times Fm walikua washaanza kumfanyia Promo.
Kwenye ratiba ya Fiesta Davido toka awali hakuwemo. Kama unavyojua ile watoto ya mjini issue ya davido wakaamua kuipiga juu kwa juu. Wakamlambisha mpunga kimyakimya wakasanda, wiki ya mwisho ya fiesta Davido akatangazwa ndani ya mjengo kuwa Fiesta inamhusu.
Times wakawa hawaamini kama itawezekana akaimbe fiesta wakati washamalizana naye mikataba na washamchukulia kibali Baraza la Sanaa(BASATA).
Jumanne Clouds wameenda kumchukulia kibali Basata wakanyimwa wakaambiwa washotoa kibali kwa kampuni nyingine iliyowatangulia wao kwenda Basata. Kwa maana msanii wa nje hawezi panda jukwaani bila kibali cha basata.
Clouds hawakuishia hapo kwenye promo za Fiesta wakaendelea kuutangazia umma kuwa Davido atakua uwanjani anakamua kama kawa.
Ijumaa msanii huyo anatua uwanja wa ndege na kupokelewa na watoto ya mujini. Times fm ndo wakaona kumbe jamaa wako serious, wakaamua kukimbilia maakamani kuweka zuio la mahakama. Siku ya ijumaa mchana(juzi) Mahakama ikatoa kibali Cha kusitisha Davido asipafom fiesta mpaka amalize kesi yake na times fm.
Jiulize jana jmos ofisi hazifanyi kazi sio mahakama wala basata sasa jamaa wameyamaliza vipi mpaka davido apate kibali cha kupanda jukwaani kuimba? Na hiyo clouds wamewafanyia makusudi times fm au tuseme wamewahujumu ili tamasha lao la climax la tarehe 1 novemba lifulie. Jiulize mtu aliyemuona leo davido aki-pafom fiesta anaweza kwenda tena kumuona huyohuyo davido tarehe 1 yan wiki 2 zijazo akipafom climax?
Lakini nasikia kibali kimetoka China kwa vasco da gama. Si unajua tena bongo daresalama ukitaka kuwin cheza dili na wale magwiji.
miss strong vip mbona sisikii ukizomea?
Finally b...Ni Yamoto Band
Nataka kuweka alama tulikotoka b…Dah! Umefanya kazi kubwa sana b... hongera sana.
Ova